EVERTON YAMSAJILI LENNON KWA MKOPO

EVERTON YAMSAJILI LENNON KWA MKOPO

Like
305
0
Tuesday, 03 February 2015
Slider

Everton imemsajili mshambuliaji wa Tottenham Aaron Lennon kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu kabla dirisha la usajili halijafungwa hapo jumatatu

Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 27 ameichezea klabu ya Spurs mara 267 mara baada ya kuwasili kwenye klabu hiyo mwaka 2005 na kufanikiwa kutwaa kombe la ligi

Bosi wa Klabu ya Everton Roberto Martinez amezipiku klabu za Hull City na Stoke City katika kuupat wino wa mshambuliaji huyo na kuweka matumaini makubwa kutokana na uwezo pamoja uzoefu wake kwenye ligi ya uingereza

Martinez aliiambia tovuti ya Everton kwamba Aaron ni mchezaji muhimu katika kikosi chao kwakuongeza mashambulizi kuanzia kipindi hiki hadi mwisho wa msimu

Comments are closed.