FAMILIA YA ABOUD JUMBE IMESEMA HALI YA RAIS HUYO MSTAAFU SIO MBAYA KIAFYA

FAMILIA YA ABOUD JUMBE IMESEMA HALI YA RAIS HUYO MSTAAFU SIO MBAYA KIAFYA

Like
563
0
Thursday, 16 October 2014
Local News

FAMILIA ya Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Aboud Jumbe Mwinyi imekanusha baadhi ya taarifa zilizoripoti na Vyombo vya habari nchini kuwa hali ya kiongozi huyo ni mbaya kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya ugonjwa wa Moyo.

Akizungumza na EFM kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili Mkurugenzi Idara ya Uvuvi Zanzibar, MUSA ABDULI JUMBE amesema kuwa BABA yake anasumbuliwa na tatizo la umri kuwa mkubwa.

Amefafanua kuwa kwa sasa BABA yake anaendelea vizuri na si mgonjwa mahututi kama ilivyo ripotiwa

jumbe

 

Comments are closed.