GAZETI LA VIBONZO LACHAPISHA KIBONZO CHA MTUME MUHAMMAD

GAZETI LA VIBONZO LACHAPISHA KIBONZO CHA MTUME MUHAMMAD

Like
494
0
Wednesday, 14 January 2015
Global News

GAZETI la Charlie Hebdo leo limeanza kusambaza toleo la gazeti lake ambalo limechapisha kibonzo cha Mtume MOHAMMAD kwenye ukurasa wake wa mbele.

Imeelezwa kuwa zaidi ya Nakala Milioni za gazeti hilo zimeanza kusambazwa na nyingine zitafuata iwapo wanunuzi wataongezeka.

 

Comments are closed.