GEORGE MASAJU AAPISHWA KUWA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YA AWAMU YA TANO

GEORGE MASAJU AAPISHWA KUWA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YA AWAMU YA TANO

Like
242
0
Friday, 06 November 2015
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dokta John Pombe Magufuli, asubuhi ya leo amemwapisha Bwana George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali –AG, herehe zilizo fanyika  Ikulu jijini Dar es saalam.

 

Mwanasheria Mkuu Masaju ambaye kwa mara ya mwisho aliteuliwa na Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kuchukua nafasi hiyo  iliyobaki wazi baada ya aliyekuwa mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Frederick Werema  kujiuzulu.

 

Tayari Rais Dokta Magufuli ameshaitisha Vikao vya Bunge Novemba 17 na anatarajiwa kumtangaza Waziri Mkuu Novemba 19 mwaka huu.

Comments are closed.