GERARDO MARTINO: ARGENTINA HAIKUSTAHILI KUPOTEZA MCHEZO DHIDI YA CHILE

GERARDO MARTINO: ARGENTINA HAIKUSTAHILI KUPOTEZA MCHEZO DHIDI YA CHILE

Like
305
0
Monday, 06 July 2015
Local News

“Argentina haikustahili kushindwa dhidi ya Chile katika mchezo wa fainali za michuano ya Copa America kutokana na timu zote kucheza sawa katika viwango” alisema kocha Gerardo Martino

Chile imejishindia taji lake kubwa la kwanza kwakuitandika Argentina kwa mikwaju ya penati baada ya kutoka suluhu ya bila kufungana ndani ya dakika 120.

katika mchezo wa uliochezwa kwa kiwango cha juu na timu hizo lakini kwa mtazamo wake anaona Argentina walistahili kutwaa taji hilo alisema Martino wakati akizungumza na vyombo vya habari baada ya mchezo huo kumalizika.

Lakini pia Martino ameisifu Chile kwakucheza katika kiwango bora toka kuanza kwa michuano hiyo na kuongeza kuwa

Comments are closed.