HALI YA SOKO LA BUGURUNI NI TETE

HALI YA SOKO LA BUGURUNI NI TETE

Like
232
0
Thursday, 19 February 2015
Local News

HALI ya Miundombinu katika Soko la Buguruni jijini Dar es salaam imeendelea kuwa mbaya kutokana na mahitaji ya Wananchi kuongezeka pasipo Soko kupanuliwa.

EFM imefika katika soko hilo na kujionea mrundikano wa bidhaa na msongamano wa watu katika soko hilo na kulifanya lionekane kuelemewa kutokana na wafanyabiashara wengine kuuza bidhaa barabarani.

Comments are closed.