HATMA YA KESI YA UMBALI KWA WAPIGA KURA KUFAHAMIKA LEO

HATMA YA KESI YA UMBALI KWA WAPIGA KURA KUFAHAMIKA LEO

Like
186
0
Friday, 23 October 2015
Local News

KESI ya Kikatiba kuhusu tafsiri ya Umbali wanaotakiwa kusimama wapiga kura baada ya Kupiga kura Wakati wa Uchaguzi mkuu inatolewa hukumu yake leo ikiwa ni maelekezo maalumu.

Hukumu hiyo inasomwa baada ya kusikiliza maelezo ya pande zote mbili kuhusiana na kesi hiyo yaliyotolewa hapo jana ambapo mahakama imesema itatoa maelekezo maalum kuhusu umbali wanaotakiwa kusimama wapiga kura baada ya kupiga kura siku ya chaguzi mkuu.

Kesi hiyo ilifunguliwa October16 mwaka ikiiomba mahakama kuu kutoa tafsiri ya sheria ya chaguzi namba 104 kifungu cha kwanza inayoeleza kuwa mpiga kura anaruhusiwa kusimama mita 200 baada ya kupiga kura.

Comments are closed.