HAYA NDIO MAAMUZI YALIYOFANYWA NA CRIS BROWN KULINDA USALAMA WAKE

HAYA NDIO MAAMUZI YALIYOFANYWA NA CRIS BROWN KULINDA USALAMA WAKE

Like
365
0
Wednesday, 14 January 2015
Entertanment

Chris brown hataki tena kufanya show za kwenye Club kufuatia mfululizo wa matukio ya kuponea chupuchupu mara kadhaa risasi zinapofyatuliwa na makundi ya wahuni kwenye Club hizo.

Imeelezwa kuwa Cris Brown ameitisha kikao cha dharura na meneja wake pamoja na timu yake nzima kuwataarifu juu ya maamuzi yake ya kufuta show zote za club zilizokuwa kwenye ratiba zake ili kwa sababu za kiusalama mara baada ya tukio la mwisho lililotokea huko San Jose

Kwenye tukio la San Jose watu watano walijeruhiwa katika kulinda nafasi yake kimuziki Cris ameamua kufanya maamuzi hayo kwani mwishoni mwa mwaka 2014 Cris Brown alilipotiwa na mtandao wa Tmz kujihusisha na makundi ya wahuni

Comments are closed.