HII NDIO ZAWADI YA 2FACE KUSHEREHEKEA MIAKA KUMI YA MUZIKI WAKE

HII NDIO ZAWADI YA 2FACE KUSHEREHEKEA MIAKA KUMI YA MUZIKI WAKE

Like
428
0
Tuesday, 28 October 2014
Entertanment

Msanii kutoka pande za Nigeria ambae alipata umaarufu mkubwa Afrika na Dunia kwa ujumla baada ya kuachia wimbo wake wa African Queen na kufanya vizuri kwenye chati za redio na tv kwa kipindi hicho.

Lakini huo haukuwa wimbo wa kwanza wa msanii huyo, mashabiki wa Muziki wa Nigeria wanautambua wimbo wa Nfana Ibaga alioufanya miaka kumi iliyopita na kufanya vizuri kwenye tasnia ya muziki wa Nigeria wimbo huo una bahati ya kudumu kwenye masikio ya mashabiki wa 2face.

Kufuatia hali hiyo sasa 2face ameachia Video remix ya wimbo huo kama sehemu ya kusherehekea Miaka kumi kwenye Muziki.

unaweza kuitazama hapa

Comments are closed.