HII NDIO ZAWADI YA KEVIN HART KWA ALIEKUWA MKEWE

HII NDIO ZAWADI YA KEVIN HART KWA ALIEKUWA MKEWE

Like
374
0
Friday, 20 March 2015
Entertanment

 

Kevin Hart akabidhi funguo za ndinga mpya aina ya cadillac Escalade ya mwaka 2015  kwa aliekuwa mke wake Torrei Hart.

Wawili hawa walitengana miaka mitano nyuma lakini Muigizaji huyu hajapoteza nafasi ya kumjali mama wa watoto wake wawili.

Nyota wa Atlanta Exes  Torrei amesherehekea birthday yake ya 37 mapema feb 28 na kushea picha kupitia ukurasa wake wa instagram  march 28 kuonyesha zawadi ambayo Kevin amemzawadia na kuandika caption ya maneno haya ikiwa kama sehemu ya kushukuru

 “Big shout out to my baby daddy/friend @kevinhart4real for my brand new @cadillac Escalade,”

. “We have had our rough patches but God and prayer can change anything. My family for life. Thanks for always having my back. Now all I have to do is throw some Ds on this B*tch!! #blessed #happy #bestpiscesseasonever #cadillac #escalade”

 

Akiongea na mtandao wa TMz Torrei amesema kuwa zawadi hiyo ni sehemu ya mapenzi mema kwa wazazi hao ukizingatia imekuja katika kipindi ambacho yeye na mpenzi wa sasa wa Kevin Hart wapo kwenye mahusiano mazuri kufikia hatua ya kutoka pamoja wakati mwingine baada ya kumaliza tofauti zao.

 

Torrei na Eniko Parrish wamekuwa kwenye vita ya kutupiana vijembe kwa muda mrefu kupitia mtandao wa kufuatia tuhuma za Kevin Hart kusaliti ndoa yake na Torrei kwakuwa na mahusiano na Eniko Parrish

 

Ila kwa sasa hakuna tatizo tena kati ya warembo hawa wawili

Comments are closed.