HOFU YA UMMA JUU YA MABADILIKO YA HALI YA HEWA YAPUNGUA

HOFU YA UMMA JUU YA MABADILIKO YA HALI YA HEWA YAPUNGUA

Like
129
0
Friday, 27 November 2015
Global News

HOFU ya umma kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa imepungua katika kipindi cha miaka sita iliyopita.

Kura ya maoni ya kimataifa inaonyesha kuwa hofu hiyo imepungua hasa katika nchi zilizostawi kiviwanda.

Ni nchi nne pekee ambazo ni – Canada, Ufaransa , Uhispania na Uingereza ambazo kwa sasa raia wake wanaunga mkono serikali zao kuweka malengo katika mkutano wa dunia wa mazingira utakaofanyika wiki ijayo mjini Paris Ufaransa.

Comments are closed.