URUSI KUSHIRIKIANA KUPAMBANA NA IS

URUSI KUSHIRIKIANA KUPAMBANA NA IS

Like
134
0
Friday, 27 November 2015
Global News

URUSI imesema iko tayari kushirikiana katika mapambano dhidi ya kundi la kigaidi la Islamic State.

 

Rais Vladmir Putin amemwambia mwezie wa Ufaransa Francois Hollande, kuwa shambulio dhidi ya ndege ya abiria ya Urusi na lile lililotokea mjini Paris, ambayo yote kundi la Islamic State limekiri kuhusika, kumefanya nchi hizo kuungana dhidi ya adui wao huyo.

 

Rais huyo wa Ufaransa yupo nchini Urusi kama sehemu ya kujaribu kutafuta muungano kuweza kuwadhibiti wapiganaji wa Islamic state nchini Syria

Comments are closed.