HUKUMU YA KESI YA SHAMBULIO LA AL-SHABAB UGANDA

HUKUMU YA KESI YA SHAMBULIO LA AL-SHABAB UGANDA

Like
248
0
Thursday, 26 May 2016
Global News

MAHAKAMA mjini Kampala leo inatarajiwa kutoa hukumu katika kesi ambapo wanaume 13 wameshtakiwa kuhusiana na mashambulio ya mabomu yaliyotekelezwa na al-Shabaab mwaka 2010.

Watu zaidi ya 70 walifariki kwenye mashambulio hayo yaliyotekelezwa wakati watu wakitazama fainali ya Kombe la Dunia la mwaka 2010.

Kesi hiyo imechukua miaka sita.

Comments are closed.