HUKUMU YA ZUIO LA KUAGA MWILI WA MAREHEMU MAWAZO KUTOLEWA LEO

HUKUMU YA ZUIO LA KUAGA MWILI WA MAREHEMU MAWAZO KUTOLEWA LEO

Like
275
0
Thursday, 26 November 2015
Local News
 
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mwanza inatarajiwa kutoa hukumu dhidi ya kesi ya kupinga tamko la kamanda wa polisi mkoani humo la kuzuia shughuli ya kuuaga mwili wa marehemu Alphonce  Mawazo iliyofunguliwa na baba mdogo wa marehemu.
Kesi hiyo iliyokuwa ikisikilizwa na jaji mkuu katika Mahakama hiyo  Lameck Mlacha ambapo mawakili wapande zote mbili  upande wamlalamikaji na upande wawalamikiwa wamewasilisha hoja zao katika mahakama hiyo, na itatolewa hukumu yake leo saa saba mchana.
Hukumu hiyo ya leo inatarajiwa pia kuamua iwapo Mwili wa Marehemu Alphonce Mawazo utazikwa lini.

Comments are closed.