IGGY AZALEA ACHUKIZWA NA SNOOP

IGGY AZALEA ACHUKIZWA NA SNOOP

Like
395
0
Tuesday, 14 October 2014
Entertanment

Kupitia mtandao wa instagram Snoop alipost picha ya mremavu wa ngozi (albino) na kuiwekea caption yenye maneno haya “Iggy Azalea no make up,” akimaanisha ni picha ya Iggy azalea bila vipodozi

kitendo hicho kimemkera Iggy kiasi cha kushindwa kuzuia hasira zake na kuanza kumporomoshea maneno mazito Snoop kwenye mtandao wa Twitter  kwa kudai mara kadhaa Soop amekuwa akituma walinzi wake kuomba kupiga picha na Iggy wanapokutana kwenye shows tofauti.

rapa huyo wa kike ameongeza kuwa amevunjwa moyo na kitendo kilichofanywa na Snoop ingawa Snoop kwa upande wake hakutoa picha hiyo kwenye ukurasa wake

iggg

picha iliyopostiwa na Snoop

Comments are closed.