INDONESIA YAFANYA KUMBUKUMBU YA MIAKA KUMI TANGU KUTOKEA KWA TSUNAMI

INDONESIA YAFANYA KUMBUKUMBU YA MIAKA KUMI TANGU KUTOKEA KWA TSUNAMI

Like
344
0
Friday, 26 December 2014
Global News

Wananchi wa Indonesia wameanza kuadhimisha mwaka wa Kumi tangu kutokea kwa tetemeko la ardhi lililosababisha Mawimbi makubwa katika bahari ya Hindi, Tsunami na kusababisha Vifo vya watu zaidi ya laki mbili.

Umati wa watu umekusanyika karibu na jengo la makumbusho la Tsunami katika eneo la Banda Aceh katika kisiwa cha Sumatra.

Comments are closed.