JAMII IMETAKIWA KUSAIDIA WATOTO YATIMA NA WANAOISHI KWENYE MAZINGIRA HATARISHI

JAMII IMETAKIWA KUSAIDIA WATOTO YATIMA NA WANAOISHI KWENYE MAZINGIRA HATARISHI

Like
263
0
Friday, 06 February 2015
Local News

JAMII imetakiwa kusaidia watoto yatima na wanaoishi katika mazingira  hatarishi ili kupunguza ongezeko la majambazi wanaotokana na watoto wa mitaani nchini.

Rai hiyo imetolewa na mlezi wa kituo cha kulelea  watoto Yatima cha Mwandaliwa,  HALIMA MWANDALIWA  kilichopo Mbweni jijini Dar es salaam wakati akizungumza na EFM.

Asema kuwa endapo watoto hao watasaidiwa kupata elimu ya msingi na mpaka secondari kuna uwezekano mkubwa wakujiajiri na  hivyo kupunguza majambazi au kutokomeza kabisa tatizo hilo.

Comments are closed.