JAMII IMETAKIWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUTOA TAARIFA ZA WANAFUNZI WANAOPATA MIMBA SHULENI

JAMII IMETAKIWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUTOA TAARIFA ZA WANAFUNZI WANAOPATA MIMBA SHULENI

Like
337
0
Thursday, 06 November 2014
Local News

JAMII imetakiwa kushirikiana na serikali kutoa taarifa za wanafunzi wanaopata ujauzito wakiwa shuleni.

Wito huo umetolewa na Katibu mkuu Wizara ya Elimu Dokta SIFUNI MCHOME wakati akizungumza na EFM na kusema kuwa hali hiyo itasaidia kujua idadi ya wanafunzi ambao hawahudhurii masomo pamoja na kuwachukulia hatua wahusika wakuu waliosababisha tatizo.

Amebainisha kuwa watoto wa kike wanatakiwa kupewa Elimu juu ya masuala ya Uzazi ili iweze kuwasaidia katika kujitambua pamoja na kuepuka kupata Mimba wakiwa Shuleni.

mchome-june3-2013(1)

 

Comments are closed.