JESHI LA POLISI LAWATAKA WANANCHI DAR KUTOSAFIRISHA FEDHA KIHOLELA

JESHI LA POLISI LAWATAKA WANANCHI DAR KUTOSAFIRISHA FEDHA KIHOLELA

Like
276
0
Wednesday, 29 October 2014
Local News

JESHI la Polisi kanda Maalum Dar es salaam limewataka wananchi, Taasisi na wafanyabiashara kuacha tabia ya kusafirisha fedha kiholela katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam ili kuepu matatizo ya kuporwa fedha ikiwa ni pamoja na kuhatarisha maisha yao.

 

Akizungumza na Waandishi wa Habari Kamishna wa Polisi Kanda Maalum Dar es salaam SULEIMAN KOVA amesema hali hiyo inatokana na kuongezeka kwa matukio mbalimbali ya uporaji wa fedha.

 

 

Katika hatua nyingine Kamishna Kova amewataka wananchi kuwa makini na watu wanaojiita mawakala wa Freemasons

 

 

 

Comments are closed.