JINX AMUOMBA RADHI USAIN BOLT

JINX AMUOMBA RADHI USAIN BOLT

Like
214
0
Wednesday, 03 June 2015
Entertanment

 

Mke wa Sean Poul hatimae amemuomba radhi Usain Bolt kufuatia kauli post yake ya kumponda mwanariadha huyo kwenye mtandao wa facebook kuwaboa wengi.

Kwenye post hiyo Jinx alifananisha matendo ya Usain Bolt na jirani kutoka kuzimu kutokana na kelele za mwanariadha huyo zinazotoka nyumbani kwake ama kwenye vyombo vya moto anavyoendesha.

Kwenye post yake ya sasa Jinx amesema hakumaanisha kumuumiza mtu yeyote wala kumkosea heshima Usain Bolt kwakuweka hadaharani kinachomkera

Pia ameongeza kuwa atafuata njia nyingine zakuweza kutatua tatizo hilo kwani linamkosesha amani

 

Comments are closed.