JUMA SIMBA: CCM HAITISHWI WALA KUZUIA MTU KUHAMA

JUMA SIMBA: CCM HAITISHWI WALA KUZUIA MTU KUHAMA

Like
251
0
Wednesday, 29 July 2015
Local News

CHAMA cha Mapinduzi –CCM, kimesema kwamba ni chama kikubwa na hakitishwi wala kuzuia mtu yeyote kukihama huku kikizungumzia uwepo wa wanachama ambao waliwahi kukihama na kurejea.

 

Taarifa hizo zimetolewa leo na Katibu wa Siasa na Uenezi wa Mkoa wa Dar es Salaam Juma Simba, ambaye amezungumzia pia kuhusu tetesi kuwa wafuasi wa Lowassa ambao ni wengi ndani ya chama hicho wanasemekana kuwa wapo mbioni kumfuata kada huyo, amesisitiza wao hawazuii mtu yeyote kuhama chama hicho.

 

Comments are closed.