JUNIOR ARCHIEVEMENT NA CITI BENKI WAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA BIDHAA BORA

JUNIOR ARCHIEVEMENT NA CITI BENKI WAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA BIDHAA BORA

Like
290
0
Wednesday, 17 December 2014
Local News

SHIRIKA la Junior Archvment kwa kushirikiana na   Citi Benki wamewapongeza vijana wajasiriamali walioshinda katika shindano la bidhaa bora lililofanyika jijini Dar es salaam kwa lengo la kumtafuta mshindi wa bidhaa bora atakayewakilisha katika shindano la Ujasiriamali Afrika.

Akizungumza wakati wa kukabidhi zawadi kwa washindi watatu kati ya makundi 13 walioshiriki, mkurugenzi wa   shirika lisilo la serikali la Junior archievement Maria Ngowi amesema shirika hilo limekuwa likidhaminiwa na CITI Benki ili kuweza kutoa mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana wenye umri mdogo ili waweze kumiliki uchumi binafsi.

Comments are closed.