KAMATI NDOGO YA BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA MOSHI IPO MASHAKANI KUTEKELEZA MAJUKUMU YAKE

KAMATI NDOGO YA BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA MOSHI IPO MASHAKANI KUTEKELEZA MAJUKUMU YAKE

Like
318
0
Wednesday, 28 January 2015
Local News

KAMATI ndogo iliyoundwa na Baraza la Madiwani wa Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro ipo shakani kutekeleza jukumu iliyopewa.

 

Kamati hiyo imeundwa kuchunguza uhalali wa umiliki wa kiwanda kilichoibua mgogoro kati ya madiwani na ofisi ya mkurugenzi wa Halmashauri hiyo.

 

Hatua hiyo inatokana na kuwepo kwa wajumbe ambao ni wakuu wa Idara za Halmashauri hiyo ambao wanaelezwa kuwa hawana uhalali wa kisheria wa kumchunguza mkurugenzi ambaye ni mkuu wao wa kazi.

 

Comments are closed.