KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA YABAINI UFISADI HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM

KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA YABAINI UFISADI HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM

Like
337
0
Wednesday, 14 January 2015
Local News

KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa-LAAC imebaini kuwepo kwa Ufisadi na uzembe katika Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam.

 Hali hiyo imesababisha wajumbe kuwaomba Watendaji akiwemo Meya wa jiji hilo DIDAS MASABURI kupisha Kamati hiyo kwa muda ili kujadili taarifa zao.

 Hatua hiyo imetokana na baadhi Wajumbe wa Kamatihiyo kuhoji ni kwa nini jiji wamekataa kumpatia Simon Group Akaunt kwa ajili ya kufanya malipo ya Hisa zilizokuwa zikiuzwa na jiji la Dar es salaam.

 

Comments are closed.