KAMPUNI YENYE MAHUSIANO NA CHINA YATUHUMIWA KUWADHILI WANAMGAMBO SUDANI KUSINI

KAMPUNI YENYE MAHUSIANO NA CHINA YATUHUMIWA KUWADHILI WANAMGAMBO SUDANI KUSINI

Like
373
0
Friday, 30 January 2015
Global News

SHIRIKA la utafiti kuhuhusu silaha ndogondogo, limesema kuwa Kampuni ya mafuta iliyo na mahusiano na China inawafadhili wanamgambo nchini Sudani kusini.

Wanamgambo takriban mia saba wanaelezwa kupelekwa katika maeneo ya machimbo ya mafuta yanayomilikiwa na Kampuni hiyo ambayo Shirika la Petroli la Kenya lina hisa kubwa zaidi.

Hakukuwa na majibu yoyote kuhusu utafiti uliotolewa na Kampuni ya Mafuta.

Comments are closed.