KAULI YA KIKWETE KUVUNJA UKIMYA ESCROW

KAULI YA KIKWETE KUVUNJA UKIMYA ESCROW

Like
372
0
Monday, 15 December 2014
Local News

 MUDA wowote kuanzia leo Rais JAKAYA KIKWETE atatoa na kutangaza uamuzi wake kuhusiana na baadhi ya Watendaji wakiwemo Mawaziri kuhusishwa katika kashfa ya Akaunti ya Tegeta ESCROW.

Wiki iliyopita Rais KIKWETE alipokea na kuanza kuipitia Ripoti,Nyaraka na Ushauri uliotolewa katika maazimio ya Bunge kuhusu Akaunti ya Tegeta ESCROW.

Rais KIKWETE ambaye ameanza kazi rasmi Desember 8 mwaka huu, baada ya mapumziko kutokana na upasuaji aliofanyiwa mwezi uliopita amesema atatoa uamuzi wake ndani ya wiki hii.

 

Comments are closed.