KEJERI ZA SHABIKI ZAMTIBUA KANYE WEST

KEJERI ZA SHABIKI ZAMTIBUA KANYE WEST

Like
437
0
Monday, 26 January 2015
Entertanment

Kanye West rapa kutoka nchini Marekani alikuwa na wakati mgumu mwishoni mwa wiki pindi yeye na mkewe Kim Kardashian waliwasili jijini Washington DC

 

Hali ilikuwa tete pale mmoja wa mashabiki alipomtaka Kanye west asain picha iliyotumika katika harusi ya Kim na Kris Humphries.

Katika hali tu yakawaida unaweza ukajiuliza huenda shabiki huyo alikosa picha yakuweka sahihi na Kanye au alilenga kumkera msanii huyu ambae alikataa kusaini picha hiyo

Comments are closed.