KENDRICK LAMAR AMUOMBA RADHI PHIL JACKSON

KENDRICK LAMAR AMUOMBA RADHI PHIL JACKSON

Like
404
0
Tuesday, 04 November 2014
Entertanment

rapa anaefanya vizuri kwa sasa kutoka Marekani Kendrick lamar amemuomba radhi mkongwe phil Jackson mara baada ya kuchana bar kwenye ngoma ya Big shown “control” kwa kutamka maneno haya

“Phil Jackson came back, still no coaching me. I’m uncoachable.”  mstari huo ambao ulitafsiriwa kama kumdhihaki kocha huyo na mchezaji mkongwe wa basket bal yani mpira wa kikapu duniani

na baadae mkongwe huyo aliongea maneno machache ya kumjibu Kendrick lamar kupitia ukurasa wake wa Twitter

PhilJackson.jpg

Kedrick aliomba radhi kupitia interview aliyofanya na Vibe ambapo alisisitiza kuwa hakumaanisha kama watu walivyoichukulia kwa maana yeye mwenyewe ni shabiki mkubwa wa Phil Jackson toka kipindi cha nyuma hadi sasa na ataendelea kumpenda na kumkubali toka enzi za  Bulls na Lakers

Kendrick aliongeza zaidi ya kuwa aliandika bar hiyo kama sehem ya kumkubali kwani haitaji kuwa kwenye upande mbaya na Phil Jackson

 

Comments are closed.