KENYA: SHAMBULIO BANDIA LALETA MAAFA

KENYA: SHAMBULIO BANDIA LALETA MAAFA

Like
239
0
Tuesday, 01 December 2015
Global News

MWANAMKE mmoja amefariki huku zaidi ya wanafunzi 20 wakijeruhiwa katika oparesheni ya kuiga shambulio la kigaidi ilioendeshwa nchni kenya, katika chuo kikuu cha Strathmore.

Oparesheni hiyo imepangwa na chuo hicho pamoja na maafisa wa polisi bila kuwaarifu wanafunzi na wafanyakazi, ili kubaini ikiwa chuo hicho kiko tayari kukabiliana na tukio la kigaidi.

Kauli rasmi kutoka chuo kikuu cha strathmore, imethibitisha kwamba mfanyakazi mmoja amefariki kutokana na majeraha aliyoyapata baada ya kuruka kutoka ghorofa ya tatu

Comments are closed.