KITUO CHA WANAWAKE RUVUMA KIMEIOMBA SERIKALI KUWAPATIA MSAADA WA MASHINE ZA KUSHONEA

KITUO CHA WANAWAKE RUVUMA KIMEIOMBA SERIKALI KUWAPATIA MSAADA WA MASHINE ZA KUSHONEA

Like
443
0
Tuesday, 04 November 2014
Local News

 

KITUO cha Wanawake Mkoa wa Ruvuma Wilaya ya Namtumbo –MKOMANILE, kimeiomba serikali kuwapatia msaada wa mashine za kisasa za kushonea nguo pamoja na umeme.

 

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Mkurugenzi wa Kituo hiko JANETH LOPENZA amesema kuwa lengo la kikundi ni kuinua uchumi wa wanawake vijijini kupitia uzalishaji wa ujasiriamali.

 

LOPENZA amethibitisha kuwa kupitia msaada wa taasisi mbalimbali imewasaidia kujenga maabara ya vifaa vya samani, malighafi na mashine za kushonea

Comments are closed.