KUMBE KUONGEZA SIFURI SIO BONGO TU!!!!

KUMBE KUONGEZA SIFURI SIO BONGO TU!!!!

Like
445
0
Tuesday, 30 December 2014
Entertanment

Hatimae Justin Bieber’s ametolewa kwenye club ya umoja wa mastar wanaomiliki ndege binafsi na hii imekuja mara baada ya Jb kugundulika kama ndege iliyokuwa inaaminika ni ya kwake hana umiliki nayo na ndege hiyo ipo sokoni kwa maaana inauzwa

Bieber’s alipost picha instagram kuelekea siku ya Krismas akiwa kwenye ndege hiyo na kuandika caption ya maneno haya “New jet for Christmas, and she’s beautiful”

Richa ya msanii huyo kutajwa kumiliki kiasi cha dola milioni 200 za kimarekani lakini ndege hiyo aina ya 4G mpya inagharimu kiasi cha dola milioni 60 za kimarekani ambapo wasemaji wa mambo wanaamini kwake pia ingekuwa mtihani kuinunua

Mapema mwezi April msanii huyo alipost gari aina ya Bugatti na baadae ilifahamika kuwa Birdman ndie mmiliki wa gari hilo na baadae alienda mbali zaidi pale alipost Yatch yani boti binafsi ambayo nayo pia ilikuwa ya familia ya FL

BBB3

Comments are closed.