KUTANA NA WAPENZI WALIOFUNGA NDOA HOSPITALI

KUTANA NA WAPENZI WALIOFUNGA NDOA HOSPITALI

Like
361
0
Tuesday, 22 December 2015
Local News

 

Huko nchini Kenya Imetufikia ishu ya ndoa

iliyofungwa hospitali huku bibi harusi akiwa amelazwa na kushindwa kutembea

wala kukaa baada ya kupata ajali barabarani jumanne kabla ya harusi

iliyosababisha kuvunjika kwa miguu yote miwili,kiuno na mkono wa kushoto

,mwanamke huyo alisindikizwa na waauguzi pamoja na wasimamizi kuelekea

kwenye uwanja uliopo nje ya hospitali hiyo ulioandaliwa kwa ajiri ya sherehe

huku machozi ya furaha yakimtililika baada ya kula kiapo cha ndoa na mume

wake ambaye walipata ajari wote na kuumia mkono,wagonjwa waliokuwa

wamelazwa katika hospitali hiyo waliamua kuamka kwa ajiri ya kushuhudia tukio

hilo, hata hivyo bwana harusi alihaidi mke wake akipona wataenda kupunzika

honeymoon.

ken

Comments are closed.