LADHANI LEO NIKI WA PILI NA INSPECTA HAROUN LIVE

LADHANI LEO NIKI WA PILI NA INSPECTA HAROUN LIVE

Like
503
0
Wednesday, 21 March 2018
Entertanment

Inspect Haroun “Babu”

Niki wa Pili

MJADALA: JE NINI KIMEBADILIKA WAKATI HUU HADI WASANI KUFUNGIWA NYIMBO ZAO?

INSPECTA HAROUN: aa labda niseme kitu kimoja, dunia siku hizi ni kama kijiji, Haikwepeki  kulinda Utamaduni wetu

INSPECTA HAROUN: Kwenye nyimbo ambazo zimefungiwa zingine kiukweli hazikustaili na zingine zina staili

NIKI WA PILI: Nakumbuka Mziki wa enzi zile ulikuwa na kama uhuni hivi

NIKI WA PILI: namkumbuka professor mmoja alisema mziki wetu ni sehemu ya kuvumbua maovu.

NIKI WA PILI: Kufungiwa kwa hizi nyimbo kuna vitu vingi tunatakiwa tuvijadili sana tena kwa kina

INSPECTA HAROUN: Unajua hata huko Basata kwenyewe hakuna watu ambao wanujua mziki, ila hatuwezi kuwasema sana hapa hewani

NIKI WA PILI: kuna mikanganyiko, uwazi kipindi cha uchaguzi kwenye kampeni 2015 kuna nyimbo zilitumika hazikuwa na maadili

INSPECTA HAROUN: Mtoto ameamua kusimama mwenyewe kwa hiyo baba akimrudi mtoto basi anapaswa kumrudia kwa kumfundisha sio mkomoa

NIKI WA PILI: Basata ilikuwepo hata kabla ya sisi, kwa hiyo sisi ni tunafanya biashara, lakini Basata wapo kwa ajili ya kulinda Maadili.

INSPECTA HAROUN: Kama sisi wasanii hatuja kaa pamoja na Basata na kila mmoja akatoa duku duku lako, alafu na serikali ikikaa na Basata mimi nafikili hakuta kuwa na mkanganyiko kama huu

 

Comments are closed.