LEGEND WA MCHEZO WA BASEBALL YOGI BERA AFARIKI DUNIA

LEGEND WA MCHEZO WA BASEBALL YOGI BERA AFARIKI DUNIA

Like
281
0
Wednesday, 23 September 2015
Slider

Legend wa mchezo wa baseball kutoka nchini Marekani, Yogi Berra ambae alikuwa chachu ya utengenezwaji wa vibonzo vya Yogi Bear amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 90.

Jengo la kumbukumbu linalofanya hifadhi ya kumbukumbu za kazi na maisha ya ya legend huyu lilitangaza habari za kifo cha Yogi Berra siku ya jumanne jioni.

Berra ambae ameitumikia timu ya New York Yankees kwa takribani miaka 19 amewahi kuwa mchezaji mwenye thamani ya juu kwa mara tatu huku akiweka rekodi ya kufululiza ubingwa wa dunia mara 13.

Yogi Berra atakumbukwa kwa vitu vingi ikiwemo misemo aliyokuwa akiibuka nayo

Comments are closed.