Lil wayne ameachia mixtape kufuatia kuchelewa kwa albam yake ya Carter V ambayo imesababisha ugomvi mkubwa kati yake na Birdman mmiliki wa cash money label.
Mixtape hiyo inatajwa kuwa ni mixtape iliyolenga zaidi kuomba radhi mashabiki wake ambao wamekuwa wakiisubiri albam ya Carter V pia kuthibitisha hali kutokuwa shwari kati yake na uongozi wake
Katika mixtape hiyo wimbo wa kwanza ni remix ya wimbo O.T. Genasis’ “CoCo,” ambapo Lil Wayne ametupia mzigo wa lawama kwa cash money kwa kuichelewesha albam hiyo.
“Tha Carter gon’ be late so I cooked up a tape,” haya ni maneno yanayopatikana kwenye utangulizi yakimaanisha albam itachelewa hivyo nimeamua kufanya mixtape “The garden’s full of snakes so I had to escape.”Akiongeza kuwa bustani ina nyoka hivyo nimeamua kuondoka
“Who kept this sh**t together? Nigga, me, that’s who,” he raps in the opening bars, “Who was there when niggas left? Nigga, me, that’s who / Cash Money is an army, I’m a one man army / And if them niggas comin’ for me, I’m goin’ out like Tony.”
“Now I don’t want no problems, I just want my money,”
akiongezea kwa kusema haitaji matatizo bali ni pesa zake tu