LOWASSA KUANZA KAMPENI ZANZIBAR

LOWASSA KUANZA KAMPENI ZANZIBAR

Like
322
0
Wednesday, 09 September 2015
Local News

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA, kimeahidi kutetea haki za wavuvi waliouawa na viboko wakiwa wanavua samaki kwenye ziwa Babati, bila kulipwa fidia endapo kitapewa ridhaa na wananchi ya kuingia madarakani.

Ahadi hiyo imetolewa na Mgombea udiwani wa Kata ya Bagara Wilayani Babati Mkoani Manyara, Nicodemus Tlaghas ambaye amesema ni kwa muda mrefu wananchi wa eneo hilo walikosa mwakilishi wa kuwasemea na kuwatetea pindi wanapopata matatizo.

Mgombea Urais anayeungwa mkono na vyama vya Ukawa Edward Lowasa leo atakuwa Zanzibar wakati Mgombea mwenza Juma Duni Haji atakuwa katika Mkoa wa Dar es salaam ambapo ataendesha mikutano katika maeneo ya Segerea, Temeke Mwembe yanga na Kigamboni.

Comments are closed.