MABAHARIA NCHINI WASIKITISWA NA SERIKALI KUSHINDWA KUWAPA AJIRA

MABAHARIA NCHINI WASIKITISWA NA SERIKALI KUSHINDWA KUWAPA AJIRA

Like
544
0
Wednesday, 30 May 2018
Local News

 

Umoja wa Mabaharia nchini wamesikitishwa na kitendo cha serikali kushindwa kuwasimamia kupata ajira ya ubaharia ambapo ushirikiano baina ya serikali na mabaharia ni changamoto kubwa, wamesema tangu jumuiya ya mabaharia iwepo,

hakuna baharia mzawa aliyepata nafasi yeyote katika tenda mbalimbali zinazotoka serikalini

Kupitia kwenye kipindi cha Joto la Asubuhi kinachoruka kila siku kuanzia Jumatatu mpaka ijumaaa saa kumi na mbili asubuhi hadi saa tatu Asubuhi Mabaharia hao ambao wameomba kukutana na rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ili kusikia kilio chao cha muda mrefu la kukosa ajira na kuonekana watu sio katika jamii.

#MWANZA 91.3, #DODOMA 92.5, #MBEYA 103.3, #TANGA 88.9, #DARE ES SALAAM, #PWANI, NA #MTWARA NI 93.7

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *