Moja kati ya matukio yaliyoongeleka saana mwaka huu kwenye tasnia ya burudani ni kuhusiana na video ya Anaconda ya Nicki Minaj.
hivi karibuni kupitia interview ya V Magazine msanii huyu alivifungukia vyombo vya habari vilivyoitosa video hiyo kwa madai yakutokuwa na maadili, alisema kama mwanaume angefanya video ya aina ile basi isingekosolewa, lakini pia hao wanaokosoa wanatatizo na hawaheshimu tamaduni za hiphope ni hali hawafahamu lolote kuhusu muziki huo.
Nick alisema kuwa mbona hawakosoi kipindi maarufu cha luninga Victori’s Secrete ambacho kinaonyesha maumbile ya wanawake badala yake wanakiangalia mwanzo mwisho.
“If a man did the same video with sexy women in it, no one would care. You’re talking about newspeople who don’t even know anything about hip-hop culture. It’s so disrespectful for them to even comment on something they have no idea about. They don’t say anything when they’re watching the Victoria’s Secret show and seeing boobs and thongs all day. Why? Shame on them. Shame on them for commenting on “Anaconda” and not commenting on the rest of the oversexualized business we’re a part of.”