MAFURIKO: WAZIRI  JENISTA MHAGAMA AFANYA ZIARA BOKO BASIHAYA

MAFURIKO: WAZIRI JENISTA MHAGAMA AFANYA ZIARA BOKO BASIHAYA

Like
494
0
Wednesday, 16 December 2015
Local News

KUFUATIA eneo la boko Basihaya  kuwa na tatizo la kujaa maji kwa wingi pindi mvua inapo nyesha  hali inayo pelekea mafuriko, Waziri ofisi ya waziri mkuu sera ,bunge vijana ,ajira na walemavu mheshimiwa JENISTA MHAGAMA leo amefanya ziara katika eneo hilo  ili kujionea hali ilivyo  .

Akizungumza mara baada ya kutembelea maeneo yalio athiriwa na maji mheshimiwa Waziri amemtaka Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni pamoja na watendaji wake kuhakikisha wanaripoti Wizarani leo saa kumi jioni wakiwa na maelezo ya kutosha juu ya kwanini tatizo hilo limekuwa likijirudia mara kwa mara.

Comments are closed.