MAKAA YA MAWE KUZALISHA UMEME TANZANIA

MAKAA YA MAWE KUZALISHA UMEME TANZANIA

Like
305
0
Wednesday, 13 January 2016
Local News

 

SERIKALI imesema  itahakikisha  inafanya Makaa ya Mawe yanakuwa chanzo kingine kikubwa cha uzalishaji umeme Nchini.

 

Hayo yameelezwa na Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo alipotembelea  Mgodi wa Makaa ya Mawe wa Ngaka unaomilikiwa kwa ubia Kati ya Kampuni ya  TANCOAL na Serikali kupitia shirika la NDC.

 

Mgodi huo  upo katika Wilaya ya  Mbinga mkoani Ruvuma.

Comments are closed.