MAKALA YA UCHAMBUZI KUELEKEA AFCON 2015 TAIFA LA GABON

MAKALA YA UCHAMBUZI KUELEKEA AFCON 2015 TAIFA LA GABON

Like
320
0
Friday, 16 January 2015
Slider

leo macho na masikio yetu yapo katika taifa la Jamhuri ya Gabon, Gabon ni nchi ya Afrika magharibi ya kati. Ime pakana na Guinea ya IkwetaKamerunJamhuri ya Kongo na Guba ya Guinea. Taifa hilo limepata uhuru kutoka kwa Ufaransa mnamo 17 Agosti 1960

Jamhuri hii imeongozwa na Rais wa wili, toka ipate uhuru akiwa ni Autokrat; na rais Aliyeshikilia El Hadj Omar Bongo amekua katika uongozi toka mwaka  1967 hadi sasa (2006) yeye ndiye kiongozi Afrika aliyeshikilia uongozi kwa mda mrefu.

Gabon ni nchi yenye neema sana kuliko nchi jirani ya EQUTORIA GUINEA, Uchumi wake hasa kwa umma ni mara nne ya nchi za Afrika kusini mwa sahara. TAIFA hilo linategemea sana biashara ya mafuta  ambayo imeleta utajiri na mali, lakini usambazi wa   mafuta hayo bado umedhoofika. Gabon ilikua moja kwa Muungano wa Nchi Zinazouza Mafuta (OPEC) kutoka mwaka   1975 mpaka 1995   umoja huo ulipovunjika.

Nchi hii ina, umma mdogo, madini na mali kwa wingi, na wahifadhi biashara kutoka nchi za kigeni wameweza kufanya Gabon iwe nchi moja kutoka Afrika yenye maedeleo na neema.

Gabon ina kabila 40 ambazo zina utamaduni na lugha tafauti. Wafang wakiwa ndio kabila kubwa zaidi, Lugha ya Kifaransa, ndiyo Lugha rasmi ya Taifa hilo Ni nchi ambayo ina Umma mdogo zaidi Afrika, ni kama watu milioni moja (1) hii ikiwa nitakwimu zilizo tolewa na sense ya makazi iliyofanyika mwaka 2006 lakini mambo haya yamebaki bila kuwazuliwa kwa kuwa taifa hilo halina sense kwa sasa.

timu ya taifa GABON imeshiriki mara 5 katika michuano hiyo ya AFCON ikifika hatua ya nusu fainali mara2 mwaka1996 na walipokua wenyeji wakishirikiana na GINEA YA IKWETA mwaka2012

wachezaji tegemezi wa taifa hilo ni ALEXANDA NDOUMBOU anaekipiga katika klabu ya olyimpic marseile, BRUNO ECUELE MANGA wa cardify city na kiongozi wa kikosi kikosi hicho ni PIERE EMERICK AUBAMEYANG wa borusia dotmund

Comments are closed.