MAKONDA AWATAKA MADEREVA WA BODABODA KUUNDA KAMATI YA MUDA

MAKONDA AWATAKA MADEREVA WA BODABODA KUUNDA KAMATI YA MUDA

Like
325
0
Friday, 01 April 2016
Local News

MKUU wa mkoa wa Dar es salaamu mheshimiwa PAUL MAKONDA amewataka madereva wa boda boda mkoa huo kuhakikisha wanaunda kamati ya muda ya uongozi yenye watu 13 kwa ajili ya kusaidia kurahisha mahusiano kati ya serikali na boda boda.

Mheshiwa MAKONDA ameongeza kuwa yeye kama mkuu wa mkoa atasimamia vizuri mgawanyo wa pesa za vijana ambazo hutolewa kwa kila hamashauri kwa asilimia 10 na pia yupo tayari kuwadhamini vijana wote ambao wanajishughulisha na biashara ya boda boda katika kuchukua mikopo ya masharti nafuu .

Comments are closed.