MAMA WAJAWAZITO WAMETAKIWA KUFUATA VIDOKEZO VYA HATARI WAKATI WA UJAUZITO

MAMA WAJAWAZITO WAMETAKIWA KUFUATA VIDOKEZO VYA HATARI WAKATI WA UJAUZITO

Like
406
0
Thursday, 12 November 2015
Local News

IMEELEZWA kuwa vifo vya mama wajawazito vinavyotokea wakati wa kujifungua vinachangiwa na wao kutozingatia vidokezo vya hatari wakati wa ujauzito.

Hayo yamesemwa na Daktari bingwa wa magonjwa ya watoto kutoka hospitali ya Rufaa mkoa wa Mbeya Dakta GRORIA MBWILLE wakati akizungumza na Efm.

Dokta Mbwille Amesema kuwa vifo vingi vimekuwa vikichangiwa na mama wajamzito kutofanya maandalizi mapema kabla ya kujifungua.

Comments are closed.