Mambo 10 kuhusu eneo la maporomoko Bududa Uganda

Mambo 10 kuhusu eneo la maporomoko Bududa Uganda

Like
713
0
Tuesday, 16 October 2018
Global News

Familia zimekuwa zikiwazika jamaa zao waliofariki katika maporomoko ya Bududa

Serikali ya Uganda imewataka watu wa wilaya ya Bududa mashariki mwa Uganda wahame kutoka kijiji cha Bukalasi na vijiji vyengine vilivyoko kwenye wilaya ya Bududa kutokana na maporomoko ya mawe.

Mvua kubwa ilionyesha siku ya Alhamisi iliopita ilisababisha uharibifu wa majumba mengi na kusababisha vifo vya watu takriban 50 huku miili ikiendelea kupatikana.

Kuna hofu ya kutokea maradhi ya kuambukiza kutokana na maiti zinazo patikana katika Mto Sume na mto Manafwa baada ya mvua hiyo kubwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *