MANISPAA YA ILALA KUKUSANYA BILIONI 12 KUTOKA KWENYE KODI YA MAJENGO

MANISPAA YA ILALA KUKUSANYA BILIONI 12 KUTOKA KWENYE KODI YA MAJENGO

Like
243
0
Monday, 04 January 2016
Local News

MANISPAA   ya wilaya  ya Ilala,  imepanga   kukusanya  kiasi cha  shilingi bilioni kumi na mbili  kutokana na kodi ya majengo  kiasi kitakacho tumika katika  kuboresha  huduma za kijamii .

 

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam  leo,  Afisa uhusiano kutoka Manispaa hiyo,  TABU SHAIBU amesema Manispaa ya Ilala ina vyanzo  vingi vya mapato  na moja ya vyanzo vikuu  ni kodi ya majengo  hivyo  imepanga  kuzunguka na kupita kila kona ya mtaa ili kuhakikisha ina  wanakabiliana na wakwepa kodi  ili kuongeza kuongeza  mapato.

Comments are closed.