MANISPAA YA MOSHI YAHITAJI MAABARA 13

MANISPAA YA MOSHI YAHITAJI MAABARA 13

Like
813
0
Monday, 24 November 2014
Local News

VYUMBA 13 vya Maabara ya Masomo ya Sayansi, Vinahitajika katika Shule za Sekondary kwenye Halmashauri ya Manispaa Moshi, mkoani Kilimanjaro.

Akizungumza na Waandishi wa Habari Ofisini kwake Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Moshi SHAABAN NTARAMBE ameeleza kuwa vyumba hivyo vya Maabara vitakamilika na kufikisha idadi ya Maabara 42 zinazohitajika katika Manispaa hiyo.

Amebainisha kuwa kwa sasa ni Maabara 29 zimekamilika hivyo kufanya upungufu wa maabara 13.

Comments are closed.