Takriban watu 40 wameripotiwa kufariki katika wilaya ya Bududa Mashariki mwa Uganda baada ya mvua kubwa inayoendelea kunyesha huko kusababisha mto Tsuume kuvunja kingo zake na kusomba takriban nyumba 100. Shughuli za uokoaji zinaendelea.
Your email address will not be published. Required fields are marked *
Comment *
Name *
Email *
Website
Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment.