MAREKANI: TAARIFA ZA WAFANYAKAZI ZADUKULIWA

MAREKANI: TAARIFA ZA WAFANYAKAZI ZADUKULIWA

Like
317
0
Friday, 05 June 2015
Global News

SERIKALI ya marekani imekumbwa na udukuzi mtandao wa komputa ambapo taarifa binafsi za mamilioini ya wafanyakazi wa serikali zimeingiliwa.

Ofisi ya Utumishi ya nchini hiyo inasema karibu ya watu milioni nne ambao wanafanya kazi au waliwahi kufanya kazi wameathirika na udakuzi huo.

Taarifa zote za udakuzi huo na idadi ya watu waliohusika bado haijafahamika lakini Afisa mmoja anasema kila idara ya serikali itakuwa imeathirika kwa kiasi kikubwa.

 

Comments are closed.