no-cover

MBUNGE MAJIMAREFU AFARIKI DUNIA MUHIMBILI

Like
1031
0
Tuesday, 03 July 2018
Local News

Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Steven Ngonyani maarufu Profesa Majimarefu amefariki dunia leo usiku Jumatatu July 2, 2018 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).

Taarifa ya kifo cha mbunge huyo imethibitishwa na ofisa uhusiano wa Muhimbili, Aminiel Eligaeshi.

June 6, 2018 mbunge huyo alifiwa na mkewe, Mariam aliyekuwa akipatiwa matibabu MNH.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *