MCHEZO WA RUGBY WAPAMBAMOTO ARUSHA

MCHEZO WA RUGBY WAPAMBAMOTO ARUSHA

Like
326
0
Tuesday, 07 April 2015
Slider

Hizi ndizo team na makundi yaliyogawanywa kwa ajili ya michuano hiyo.

Kundi A.

Shakaz

Irie worriers

Buggyz

Kundi B.

Wakuda

Arusha Morans

Bokajunior

Mashindano yaha ni ya maandarizi yanayoanza 31 May pia niyakujiandaa na mashindano ya safaricom 7s ambayo inafanyika Nairobi Kenya mwezi wa Tisa na Tanzania tunatarajia kupeleka timu ya wasichana na wavulana kwa Mara ya kwanza

 

Comments are closed.